Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Eze 34:12

Eze 34:12 SUV

Kama vile mchungaji atafutavyo kondoo zake, siku ile anapokuwa kati ya kondoo zake waliotawanyika; ndivyo nitakavyowatafuta kondoo zangu; nami nitawaokoa katika mahali pote walipotawanyika, katika siku ya mawingu na giza.

Soma Eze 34

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Eze 34:12