Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 40:33-34

Kut 40:33-34 SUV

Akausimamisha ukuta wa ua kuizunguka maskani na madhabahu, akalitundika pazia la mlango wa ule ua. Basi Musa akaimaliza hiyo kazi. Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.

Soma Kut 40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 40:33-34