Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 33:12-14

Kut 33:12-14 SUV

Musa akamwambia BWANA, Angalia, wewe waniambia, Wachukue watu hawa; nawe hukunijulisha ni nani utakayemtuma pamoja nami. Walakini umesema, Nakujua jina lako, nawe umepata neema mbele zangu. Basi, sasa nakuomba, ikiwa nimepata neema mbele zako, unionyeshe njia zako, nipate kukujua, ili nipate neema mbele zako; ukakumbuke ya kuwa taifa hilo ndilo watu wako. Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.

Soma Kut 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 33:12-14