Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 33:12-14

Kutoka 33:12-14 NEN

Mose akamwambia BWANA, “Umekuwa ukiniambia, ‘Ongoza watu hawa,’ lakini hujanifahamisha ni nani utakayemtuma pamoja nami. Umesema, ‘Ninakujua wewe kwa jina lako, nawe umepata kibali mbele zangu.’ Ikiwa umependezwa nami, nifundishe njia zako ili nipate kukujua, nami nizidi kupata kibali mbele zako. Kumbuka kuwa taifa hili ni watu wako.” BWANA akajibu, “Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 33:12-14