Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 24:12-14

Kut 24:12-14 SUV

BWANA akamwambia Musa, Njoo huku juu kwangu mlimani, uwe huku; nami nitakupa mbao za mawe na ile sheria na hiyo amri niliyoiandika ili uwafundishe. Musa akaondoka na Yoshua, mtumishi wake, Musa akapanda mlimani kwa Mungu. Akawaambia hao wazee, Tungojeeni hapa, mpaka tutakaporudi kwenu; na tazameni, Haruni na Huri wapo pamoja nanyi; kila mtu aliye na neno na awaendee.

Soma Kut 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 24:12-14