Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 12:37-38

Kut 12:37-38 SUV

Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi, walipata hesabu yao kama watu sita mia elfu watu waume waliokwenda kwa miguu, bila kuhesabu watoto. Na kundi kubwa la watu waliochangamana mno wakakwea pamoja nao; na kondoo na ng’ombe, wanyama wengi sana.

Soma Kut 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 12:37-38