Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 12:37-38

Kutoka 12:37-38 NEN

Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto. Watu wengine wengi wakafuatana nao, pamoja na makundi makubwa ya mifugo wakiwemo kondoo, mbuzi na ngʼombe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 12:37-38