Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 5:8-10

Efe 5:8-10 SUV

Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; enendeni kama watoto wa nuru, kwa kuwa tunda la nuru ni katika wema wote na haki na kweli; mkihakiki ni nini impendezayo Bwana.