Waefeso 5:8-10
Waefeso 5:8-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Zamani nyinyi mlikuwa gizani, lakini sasa nyinyi mko katika mwanga kwa kuungana na Bwana. Ishini kama watoto wa mwanga, maana matokeo ya mwanga ni wema kamili, uadilifu na ukweli. Jaribuni kujua yale yanayompendeza Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:8-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; nendeni kama watoto wa nuru, kwa kuwa tunda la nuru ni katika wema wote na haki na kweli; mkihakiki ni nini impendezayo Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 5