Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 1:5-6

Efe 1:5-6 SUV

Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake. Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.