Waefeso 1:5-6
Waefeso 1:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alikuwa ameazimia tangu zamani kutuleta kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda na kunuia. Basi, tumsifu Mungu kwa sababu ya neema yake tukufu ambayo ametujalia katika Mwanae mpenzi!
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, kulingana na radhi ya mapenzi yake. Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.
Shirikisha
Soma Waefeso 1