Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhu 12:1-2

Mhu 12:1-2 SUV

Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. Kabla jua, na nuru, na mwezi, Na nyota, havijatiwa giza; Kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mhu 12:1-2