Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 33:4-5

Kum 33:4-5 SUV

Musa alituagiza torati, Ni urithi kwa mkutano wa Yakobo. Akawa mfalme katika Yeshuruni, Walipokutanika wakuu wa watu, Makabila yote ya Israeli pamoja.