Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 3:17-18

Dan 3:17-18 SUV

Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru ile iwakayo moto; naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme. Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.

Soma Dan 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 3:17-18