Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 2:27-28

Dan 2:27-28 SUV

Danieli akajibu mbele ya mfalme, akasema, Ile siri aliyoiuliza mfalme, wenye hekima hawawezi kumfunulia mfalme; wala wachawi, wala waganga, wala wanajimu; lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri, naye amemjulisha mfalme Nebukadreza mambo yatakayokuwa siku za mwisho. Ndoto yako, na njozi za kichwa chako ulizoziona kitandani pako, ni hizi

Soma Dan 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 2:27-28