Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 2:27-28

Danieli 2:27-28 NEN

Danieli akajibu, “Hakuna mwenye hekima, msihiri, mganga au mwaguzi anayeweza kumweleza mfalme siri aliyouliza, lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri. Amemwonyesha Mfalme Nebukadneza kitakachotokea siku zijazo. Ndoto yako na maono yaliyopita mawazoni mwako ulipokuwa umelala kitandani mwako ni haya

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 2:27-28