Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 2:20-21

Dan 2:20-21 SUV

Danieli akajibu, akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake. Yeye hubadili majira na nyakati; huuzulu wafalme na kuwamilikisha wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwapa wenye ufahamu maarifa

Soma Dan 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 2:20-21