Danieli 2:20-21
Danieli 2:20-21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Danieli akajibu, akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake. Yeye hubadili majira na nyakati; huuzulu wafalme na kuwamilikisha wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwapa wenye ufahamu maarifa
Shirikisha
Soma Danieli 2Danieli 2:20-21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
na akasema: “Lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; hekima na uweza ni vyake. Yeye hubadili nyakati na majira; huwaweka wafalme na kuwaondoa. Huwapa hekima wenye hekima, na maarifa wenye ufahamu.
Shirikisha
Soma Danieli 2