Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 8:29-31

Mdo 8:29-31 SUV

Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari hili, ukashikamane nalo. Basi Filipo akaenda mbio, akamsikia anasoma chuo cha nabii Isaya; akanena, Je! Yamekuelea haya unayosoma? Akasema, Nitawezaje kuelewa, mtu asiponiongoza? Akamsihi Filipo apande na kuketi pamoja naye.

Soma Mdo 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 8:29-31