Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 27:39-40

Mdo 27:39-40 SUV

Kulipokucha hawakuitambua ile nchi, ila waliona hori yenye ufuo, wakashauriana kuiegesha merikebu huko, kama ikiwezekana. Wakazitupilia mbali zile nanga, na kuziacha baharini, pamoja na kuzilegeza kamba za sukani, wakalitweka tanga dogo ili liushike upepo, wakauendea ule ufuo.

Soma Mdo 27

Video for Mdo 27:39-40

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 27:39-40