Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 18:1-3

Mdo 18:1-3 SUV

Baada ya mambo hayo, Paulo akatoka Athene akafika Korintho. Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Prisila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafikilia kwao; na kwa kuwa kazi yao ya ufundi ilikuwa moja, akakaa kwao, wakafanya kazi pamoja, kwa maana walikuwa mafundi wa kushona hema.

Soma Mdo 18

Video for Mdo 18:1-3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 18:1-3