Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 16:25-26

Mdo 16:25-26 SUV

Lakini panapo usiku wa manane Paulo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza. Ghafula pakawa tetemeko kuu la nchi, hata misingi ya gereza ikatikisika, na mara hiyo milango ikafunguka, vifungo vya wote vikalegezwa.

Soma Mdo 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 16:25-26