Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

3 Yoh 1:1-5

3 Yoh 1:1-5 SUV

Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli. Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo. Maana nalifurahi mno walipokuja ndugu na kuishuhudia kweli yako, kama uendavyo katika kweli. Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli. Mpenzi, kazi ile ni ya uaminifu uwatendeayo hao ndugu na hao wageni nao

Soma 3 Yoh 1