Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 4:19-22

2 Tim 4:19-22 SUV

Nisalimie Priska na Akila, na wale wa nyumbani mwa Onesiforo. Erasto alikaa Korintho. Trofimo nalimwacha huko Mileto, hawezi. Jitahidi kuja kabla ya wakati wa baridi. Eubulo akusalimu, na Pude, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia. Bwana na awe pamoja na roho yako. Neema na iwe pamoja nanyi.

Soma 2 Tim 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 4:19-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha