Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Timotheo 4:19-22

2 Timotheo 4:19-22 NEN

Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo. Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa. Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote. Bwana awe pamoja na roho yako. Neema iwe pamoja nanyi. Amen.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Timotheo 4:19-22

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha