Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Tim 3:12-13

2 Tim 3:12-13 SUV

Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa. lakini watu wabaya na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.

Soma 2 Tim 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Tim 3:12-13