2 Timotheo 3:12-13
2 Timotheo 3:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mtu anayetaka kuishi maisha ya kumcha Mungu katika kuungana na Kristo Yesu lazima adhulumiwe. Watu waovu na wadanganyifu wataendelea kuwa wabaya, wakidanganya wengine, na wao wenyewe wakidanganywa.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 32 Timotheo 3:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa. Lakini watu waovu na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 3