Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Sam 22:31-37

2 Sam 22:31-37 SUV

Mungu njia yake ni kamilifu; Ahadi ya BWANA imehakikishwa; Yeye ndiye ngao yao Wote wanaomkimbilia. Maana ni nani aliye Mungu, ila BWANA? Ni nani aliye mwamba, ila Mungu wetu? Mungu ndiye ngome yangu yenye nguvu; Naye huwaongoza wakamilifu katika njia yake. Huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu; Na kunisimamisha mahali pangu pa juu. Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu yaupinda upinde wa shaba. Nawe umenipa ngao ya wokovu wako; Na unyenyekevu wako umenikuza. Umezifanyizia nafasi hatua zangu, Wala miguu yangu haikuteleza.

Soma 2 Sam 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 22:31-37