2 Sam 22:2-3
2 Sam 22:2-3 SUV
akasema, BWANA ndiye jabali langu, na ngome yangu, na mwokozi wangu, naam, wangu; Mungu wa mwamba wangu, nitamwamini yeye; Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, mnara wangu, na makimbilio yangu; Mwokozi wangu, waniokoa na jeuri.