Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 10:3-6

2 Kor 10:3-6 SUV

Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo; tena tukiwa tayari kupatiliza maasi yote, kutii kwenu kutakapotimia.

Soma 2 Kor 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 10:3-6