Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 The 5:2-4

1 The 5:2-4 SUV

Maana ninyi wenyewe mnajua yakini ya kuwa siku ya Bwana yaja kama vile mwivi ajavyo usiku. Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa. Bali ninyi, ndugu, hammo gizani, hata siku ile iwapate kama mwivi.

Soma 1 The 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 The 5:2-4