Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 28:5-6

1 Sam 28:5-6 SUV

Basi alipowaona hao majeshi ya Wafilisti, huyo Sauli akaogopa, na moyo wake ukatetemeka sana. Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.

Soma 1 Sam 28

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 28:5-6