Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 28:5-6

1 Samweli 28:5-6 NEN

Sauli alipoona jeshi la Wafilisti, akaogopa; moyo wake ukajawa na hofu kuu. Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa BWANA, lakini BWANA hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 28:5-6