Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 23:16-17

1 Sam 23:16-17 SUV

Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu. Akamwambia, Usiogope, kwa maana mkono wa Sauli, babangu, hautakupata; na wewe utakuwa mfalme juu ya Israeli; na mimi nitakuwa wa pili wako; ndivyo ajuavyo hata Sauli, babangu.

Soma 1 Sam 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 23:16-17