Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 23:16-17

1 Samweli 23:16-17 NEN

Naye Yonathani mwana wa Sauli akamwendea Daudi huko Horeshi na kumtia moyo kusimama imara katika imani yake kwa Mungu. Akamwambia, “Usiogope, Daudi; baba yangu Sauli hatakutia mkononi mwake. Utakuwa mfalme juu ya Israeli, nami nitakuwa wa pili wako. Hata baba yangu Sauli anajua hili.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 23:16-17