Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 3:10-12

1 Pet 3:10-12 SUV

Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila. Na aache mabaya, atende mema; Atafute amani, aifuate sana. Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya.

Soma 1 Pet 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 3:10-12