Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 3:10-12

1 Petro 3:10-12 NEN

Kwa maana, “Yeyote apendaye uzima na kuona siku njema, basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, na midomo yake isiseme hila. Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; lazima aitafute amani na kuifuatilia sana. Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 3:10-12