Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 21:25-26

1 Fal 21:25-26 SUV

(Lakini hapakuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza atende maovu machoni pa BWANA ambaye Yezebeli mkewe alimchochea. Akachukiza mno, kwa kuzifuata sanamu sawasawa na yote waliyoyafanya Waamori, BWANA aliowafukuza mbele ya wana wa Israeli.)

Soma 1 Fal 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 21:25-26