Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 4:11-12

1 Yoh 4:11-12 SUV

Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana. Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Tukipendana, Mungu hukaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.

Soma 1 Yoh 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 4:11-12