1 Yohane 4:11-12
1 Yohane 4:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana. Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Tukipendana, Mungu hukaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wapenzi wangu, ikiwa Mungu alitupenda hivyo, basi, nasi tunapaswa kupendana. Hakuna mtu aliyekwisha mwona Mungu kamwe; lakini kama tukipendana, Mungu anaishi katika muungano nasi, na upendo wake unakamilika ndani yetu.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 41 Yohane 4:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wapenzi ikiwa Mungu alitupenda sisi hivi, imetupasa na sisi kupendana. Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote. Tukipendana, Mungu hukaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 4