Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 7:21-23

1 Kor 7:21-23 SUV

Je! Uliitwa u mtumwa? Usione ni vibaya lakini kama ukiweza kuwa na uhuru, afadhali kuutumia. Kwa maana yeye aliyeitwa katika Bwana hali ya utumwa, ni huru wa Bwana. Vivyo hivyo yeye naye aliyeitwa hali ya uhuru, ni mtumwa wa Kristo. Mlinunuliwa kwa thamani; msiwe watumwa wa wanadamu.

Soma 1 Kor 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 7:21-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha