Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 7:21-23

1 Wakorintho 7:21-23 NEN

Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. Ingawaje unaweza kupata uhuru, tumia nafasi uliyo nayo sasa kuliko wakati mwingine wowote. Kwa maana yeyote aliyeitwa katika Bwana akiwa mtumwa yeye ni mtu huru kwa Bwana, kama vile yeyote aliyekuwa huru alipoitwa yeye ni mtumwa wa Kristo. Mlinunuliwa kwa gharama; msiwe watumwa wa wanadamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 7:21-23