Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 2:9-10

1 Kor 2:9-10 SUV

lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao. Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.

Soma 1 Kor 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 2:9-10