Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 2:9-10

1 Wakorintho 2:9-10 NEN

Lakini ni kama ilivyoandikwa: “Hakuna jicho limepata kuona, wala sikio limepata kusikia, wala hayakuingia moyoni wowote, yale Mungu amewaandalia wale wampendao”: Lakini mambo haya Mungu ametufunulia kwa Roho wake. Roho huchunguza kila kitu, hata mambo ya ndani sana ya Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 2:9-10