Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 2:7-9

1 Kor 2:7-9 SUV

bali twanena hekima ya Mungu katika siri, ile hekima iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu milele, kwa utukufu wetu; ambayo wenye kuitawala dunia hii hawaijui hata mmoja; maana kama wangaliijua, wasingalimsulibisha Bwana wa utukufu; lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.

Soma 1 Kor 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 2:7-9