Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 4:6-7

Zekaria 4:6-7 NEN

Kisha akaniambia, “Hili ni neno la BWANA kwa Zerubabeli: ‘Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa Roho yangu,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote. “Wewe ni kitu gani, ee mlima mkubwa sana? Mbele ya Zerubabeli wewe utakuwa ardhi tambarare. Kisha ataweka jiwe la juu kabisa la mwisho na watu wakipiga kelele wakisema, ‘Mungu libariki! Mungu libariki!’ ”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zekaria 4:6-7