Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 22:3-5

Ufunuo 22:3-5 NEN

Katika mji huo hakutakuwa tena na laana, bali kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo humo na watumishi wake watamtumikia, nao watamwona uso wake na Jina lake litakuwa kwenye vipaji vya nyuso zao. Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, kwa maana BWANA Mungu atakuwa nuru yao, nao watatawala milele na milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 22:3-5