Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 2:7

Ufunuo 2:7 NEN

“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso ya Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 2:7