Ufunuo 2:7
Ufunuo 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Mshindi nitamjalia kula matunda ya mti wa uhai ulioko ndani ya bustani ya Mungu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2