Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:7-8

Ufunuo 19:7-8 NEN

Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu! Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia na bibi arusi wake amejiweka tayari. Akapewa kitani safi, nyeupe inayongʼaa, ili avae.” (Hiyo kitani safi inawakilisha matendo ya haki ya watakatifu.)

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 19:7-8